Mama mjamzito ni muhimu kuzingatia vitu vifatavyo ili kuepuka Madhara ya kiafya kwa Mama na mtoto.
1.Punguza matumizi ya vyakula vyenye “caffeine” Kama vile chai, kahawa na soda za cola huweza kusababisha mimba kuharibika au kutoka.
2. Kula vizuri chakula chenye mlo kamili na aina mbalimbali za matundaili kujenga afya yako na ya mtoto.
3.Pata muda wa kutosha wa kupumzika ili kutuliza mwili na akilikwa afya yako na ya mtoto.
4.Fanya mazoezi madogo madogo ya viungokama kutembea, kuogelea na yoga mara kwa mara
5.Kunywa dawa za kuongeza vitamini mwilini“Pregnancy vitamin” endapo huna uwezo wa kula chakula chenye mlo kamili lakini isiwe mbadala wa chakula
6.Acha kuvuta sigara kama ni mtumiajikwani husababisha madhara kwako na pia mimba kutoka, kuzaa mtoto kabla ya siku kutimia na mtoto kufariki akiwa tumboni.
∆ Acha kunywa pombe
Mjazito anapotumia pombe kwani humfikia mtoto kupitia mirija ya damu na kondo la nyama ( placenta) na kuadhili ukuaji wa mtoto tumboni.
8.Baada ya kugundua tu una mimba muone mkungakwaajili ya maelekezo na ratiba ya jinsi ya kuhudhuria kliniki.
9.Kuwa makini na aina ya chakulakwani kuna vyakula vina aina ya bacteria ambao husababisha madhara kwa mtoto, fata ushauri wa daktari kuhusu chakula sahihi.
10. Baada ya miezi mitano (5) ya ujauzito na kuendelea usivae nguo za kubana kama vile suruali na pia usibane mkanda wa kiunoni ili mtoto apa
Comments
Post a Comment