IFAHAMU ARGI PLUS (+) MAANA YAKE | KAZI ZAKE | FAIDA ZAKE | MATUMIZI YAKE
FOREVER Argi+ ni bidhaa bora kabisa kutoka katika kampuni yetu ya Forever living products
Ina L-arginine amino acid kwa kila kijiko kimoja cha Argi+
Ina Nitric oxide ambayo inasaidia kutanua mishipa ya damu hivyo kuruhusu damu kupita vizuri
Ina viondosha sumu vya *POMOGRANATE* ambavyo ni muhimu sana ili kuondoa sumu mwilini
Ina *Vitamin* *Complex* ambazo zinasaidia kujenga misuli
FAIDA ZA KUTUMIA ARGI+
1. Ni kirutubisho muhimu sana kutumiwa kila siku kwa ajiili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizui zaidi.
2. Inasaidia mfumo wa kinga ya mwili, kutokana na nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria. Hivyo kuupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa.
3. Inasaidia kurekebisha kiwango cha "blood pressure kiwe sahihi na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla.
4. Inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni nzuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu.
5. Nitric oxide inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza NGUVU ZA KIUME.
6. Inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu, pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili. Ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi.
7. Ina "Pomegranate" na vimelea vya matunda ambavyo ni viosha sumu, husaidia kuondoa madhara ya "FREE RADICALS" mwilini
8. Inavimelea vitokanavyo na "RED WIN" ambayo inasidia kushusha kiasi cha "CHOLESTROL" mwilini.
9. Inaongeza uwezo wa mwili kutumia insuline (Insuline Sensitivity) hivo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini.
10. Inasaidia kutoa hormones zinazopunguza kasi ya kuzeeka, kukufanya uonekane chini ya umri wako.
Matumizi:
Kijiko kimoja cha ARGI+ na 200mls za kinywaji cha Aloe Vera au Juisi, Maji au Maziwa Mtindi.

Nilikuwa nahitaji Mnauzaje
ReplyDeleteHabari inauzwa 206,100 nipigie 0676708664
DeleteMbona kuna pahali wanauza 389000
Delete