NJIA YA UZAZI WW MPANGO YA LUPU | KITANZI LUPU ( VITANZI ) Ni moja ya njia ya uzazi wa mpango inayotumiwa na wanawake wengi kwa lengo la kuzuia kupata mimba au kupanga uzazi Kifaa hiki kimetengenezwa kwa kutumia kopa kina kama vijitawi kwa mbele Kifaa hiki kimetengenezwa na kuwekewa homoni ya Aina ya progestin ambayo inafanana sana na homoni aliyonayo mwanamke. LUPU kina mkinga mwanamke asipate mimba kwa miaka 12. JINSI GANI NJIA HII INAFANYA KAZI .. • Kina mkinga asipate mimba kwa muda wa miaka 12 kwa. • Kutoruhusu mbegu za kiume kutofika kwenye mirija ya uzazi • Huzuia urutubishaji wa yai la kike kama zikifanikiwa kuingia kwenye mji wa mimba • Huzuia mbegu kuingia kwenye mji wa mimba kwenda kurutubisha yai la kike FAIDA ZA NJIA HII .. • Inazui mimba zisizo na mpangilio • Ni salama kwa mtumiaji • Haisumbui kutoa na kuweka kwa mtumiaji • Haichukui muda mrefu kurudi kwenye Hali ya kawaida na k...