VITU | MAMBO YANAYO CHANGIA MWANAMKE KUSHINDWA KUSHIKA UJAUZIZO.
SABABU ZINAZO SABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUSHIKA | KUBEBA UJAUZITO | MIMBA
Jinsia zote mbili zinaweza kuchangia Kushindwa kutunga kwa mimba
Mwanamke anaweza akawa amewahi kuzaa / kubeba ujauzito awali au Hajawahi kubeba Ujauzito na ikawa shida kushika ujauzito kwa sababu kadha wa kadha ambazo zinaweza kutoka kwa mwanamke au mwanamme.
MWANAMME ANAWEZA KUCHANGIA KIVIPI MWANAMKE KUSHINDWA KUSHIKA UJAUZITO
• Matatizo yaTezi dume
• Kutoa mbegu ambazo hazijakomaa
• Kutoa Mbegu chini ya kiwango (idadi)
• Upungufu wa nguvu za kiume
• Tatizo la msongo wa mawazo,kukosa usingizi,Kusafiri kwa safari ndefu Mara kwa Mara
• Kuzidisha Matumizi ya dawa
• Upungufu wa damu kwa muda mrefu
SABABU ZINAZOPELEKEA MWANAMKE KUSHINDWA KUSHIKA UJAUZITO.
• Maambukizi kwenye via vya uzazi
• Uvimbe kwenye kwenye mirija ya uzazi
• Mirija ya uzazi Kujaa maji
• Kuwa mvurugiko wa homoni
• Umri zaidi ya miaka 35
• Kuwahi kukoma kwa hedhi
• Matatizo ya Goita
• Matatizo ya kukosa usingizi
• Matumizi ya virainishi wakati wa tendo
• Kuwa na Uzito mkubwa | unenebb
• Kufanyiwa unaohusu Mimba kutunga nje ya kizazi
• Kinga ya mwili kuwa chini,na magonjwa ya mfumo wa kinga ya mwili
• Kuzidisha Matumizi ya Dawa au sumu
• Uvutaji wa sigara
• Unywaji wa pombe
• Msongo mkali wa mawazo
• Tatizo la Upungufu wa damu.
UCHUNGUZI | MATIBABU.
• Uchunguzi wa homoni
• Upasuaji kuchukua kinyama kwenye uvimbe kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara kuangalia Tatizo
• Picha Tumbo kuangalia mfumo wa uzazi
• Kipimo cha damu
• Uchunguzi wa ovari
• Uchunguzi wa magonjwa ya mfumo wa kinga ya mwili (kuridhi)
MATIBABU
Matibabu yanahusisha vitu vifatavyo.
• Kutibu chanzo cha tatizo Kutokana na vipimo vilivyoonyesha
• Kurekebisha Mfumo wa homoni
• Upasuaji kuondoa Uvimbe uliopo
• Kubadili mfumo wa maisha
NAMNA YA KUPUNGUZA UWEZEKANO WA TATIZO KUTOKEA KWA KUFANYA YAFATAYO.
• Kuepuka unywaji wa pombe
• Epuka uvutaji wa sigara
• Epuka au punguza msongo wa mawazo
• Tibu mapema Matatizo au maambukizi ya via vya uzazi
• Kula lishe bora
• Rekebisha mzunguko wa homoni zake.
• Epuka magonjwa ya kuambizwa kwa ngono na Tibu mapema.
Kwa maswali,maoni,na ushauri usisite kutuandikia hapa chini.
Kwa Maelezo zaidi na tiba wasiliana nasi kwa namba 0684127127-0743127127
Comments
Post a Comment