Skip to main content

LISHE WAKATI WA UJAUZITO NA WAKATI WA KUNYONYESHA

LISHE WAKATI WA UJAUZITO NA WAKATI WA KUNYONYESHA.


Kipindi chote cha Ujauzito na wakati wa kunyonyesha Mama anahitajika kupata chakula cha kutosha kwa ajili ya Kiumbe kilicho tumboni pamoja na mama mwenyewe.
Mama anaye nyonyesha anahitaji mlo ulio sahihi kwa ajili ya kusaidia kupata maziwa ya kutosha kwa ajili ya mtoto na kukupa nguvu na virutubisho vyote muhimu mwilini.

FAIDA ZA LISHE BORA
• Husaidia kuongeza damu na kuzuia upungufu wa damu
• Husaidia kuongeza uzito kulingana na umri wa mama na mtoto na kuzuia kupata Utapiamlo.
• Huimalisha ukuaji wa mtoto kimwili na kiakili.
• Husaidia kuzuia kupata mtoto mwenye uzito pungufu.
• Humsaidia mama kuandaa  mwili na utengenezaji  wa maziwa ya kutosha wakati wa kunyonyesha.

MAMBO YA KUZINGATIA.
• Kabla ya kuweka chochote kinywani na baada ya kutumia choo nawa  mikono yako kwa maji safi na Salama na sabuni.
• Anza kuhudhuria kliniki mapema baada ya kuhisi  ni mjamzito na mpeleke mtoto kliniki mapema kwa ajili ya chanjo.
• Pata muda wa kutosha wa kupumzika • Tumia chandarua chenye dawa.
• Tumia dawa za minyoo , Malaria, na kuongeza damu.
• Epuka kutumia pombe na sigara, Tumbaku.
• Tumia sana mboga mboga na matunda pia, Osha  vizuri Matunda na mboga mboga za majani kabla ya kizipika
• Hakikisha vyombo vya chakula ni visafi na vikavu.

NAMNA YA KUPANGILIA NA KUANDAA CHAKULA /MLO WAKO KILA SIKU.

Itaendelea.............

Karibu kwa maswali, Maoni
Wasiliana nasi kwa namba 0684127127 | 0743127127

Comments

Popular posts from this blog

IFAHAMU ARGI PLUS (+) MAANA YAKE | KAZI ZAKE | FAIDA ZAKE | MATUMIZI YAKE

IFAHAMU ARGI PLUS (+) MAANA YAKE | KAZI ZAKE | FAIDA ZAKE | MATUMIZI YAKE FOREVER Argi+ ni bidhaa bora kabisa kutoka katika kampuni yetu ya Forever living products Ina L-arginine amino acid kwa kila kijiko kimoja cha Argi+ Ina Nitric oxide ambayo inasaidia kutanua mishipa ya damu hivyo kuruhusu damu kupita vizuri Ina viondosha sumu vya *POMOGRANATE* ambavyo ni muhimu sana ili kuondoa sumu mwilini Ina *Vitamin* *Complex* ambazo zinasaidia kujenga misuli FAIDA ZA KUTUMIA ARGI+ 1. Ni kirutubisho muhimu sana kutumiwa kila siku kwa ajiili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizui zaidi. 2. Inasaidia mfumo wa kinga ya mwili, kutokana na nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria. Hivyo kuupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa. 3. Inasaidia kurekebisha kiwango cha "blood pressure kiwe sahihi na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla. 4. Inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ...

ZIFAHAMU SABABU, DALILI, MATIBABU NA NAMNA YA KUZUIA TATIZO LA MIMBA ZABIBU | MOLAR PREGNANCY

ZIFAHAMU SABABU, DALILI, MATIBABU NA NAMNA YA KUZUIA TATIZO LA MIMBA ZABIBU | MOLAR PREGNANCY MIMBA ZABIBU: Ni uvimbe unaotokea baada ya mbegu ya kiume kurutubisha yai la kike kwenye mji wa mimba (uzazi). Uvimbe huu baada ya kutengenezwa huendelea kukua na kuongezeka ukubwa kama mimba ya kawaida. Baada ya muda flani huanza kuleta au kuonyesha dalili za mtu Mwenye mimba au mjamzito. Uvimbe huu umetengenezwa na Tishu au kuta za mji wa mimba au uzazi. Kwa kawaida hali hii au uvimbe huu unaweza ukawa saratani au usiwe saratani, awali huanza kawaida ila kwa baadae unaweza ukawa saratani (kansa). NAMNA INAVYOTOKEA | CHANZO | KISABABISHI. Kwa kawaida ili mimba itungwe lazima mbegu ya kiume ikutane na yai la kike, na pande zote mbili upande wa mbegu za kiume na wakike lazima kuwe na vinasaba. Kama yai la kike halina vinasaba hutengeneza mimba zabibu (molar pregnancy) inayojulikana kama partial molar pregnancy, uvimbe huu huendelea kuongezeka ukubwa kama fung...

Uhusiano kati ya kundi ya kundi la damu(blood group) na uchumba/Mimba/Ujauzito/ mtoto

Uhusiano kati ya kundi ya kundi la damu(blood group) na uchumba/Mimba/ Ujauzito / mtoto   1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe 2. Seli nyekundu zina protini inajishika ukutani mwake inaitwa antigen. kuna antigen A au B au seli inakuwa haina antigen      • Ambaye seli nyekundu zina antigen A, ana blood group A     • Ambaye seli nyekundu zina antigen B ana blood group B     • Ambaye seli zake zina Antigen A na B ana blood group AB      • Ambaye seli nyekundu hazina antigeni ana blood group O 3. katika seli hiyo hiyo nyekundu ikiwa na protini inayojishika katika ukuta wake, hii inaitwa D antigen maarufu kama Rh Factor  3.(a)     Mtu mwenye D antigen katika cell zake nyekundu, blood group yake inaandikwa na kuongezewa alama ya + mfano A+, B+, AB+ au O+ 3. ...